Ticker

6/recent/ticker-posts

Mwijaku "Awilo Longomba Amelipwa na Harmonize Milioni 137 Collabo ya Attitude"


Kutoka kwa mtangazaji wa Clouds Media na mwanamitandao maarufu kama DC wa instagram @mwijaku ameweka wazi kuwa ile collaboration ya mwanamuziki @harmonize_tz na mkongwe @awilolongomba katika wimbo wa #attitude ilimgharimu kiasi cha dollars $59K sawa na 137,234,000/=Tsh million 137.2 kwa boss huyo wa KondeGang kumlipa Awilo.

Mwijaku amethibitisha hilo kupitia kipindi cha Leo tena ya Clouds Fm, akijitaja kama mtu wa karibu wa msanii huyo huku kuongeza kuwa madai ya mwanamuziki 𝐡.𝐛𝐚𝐛𝐚 hayana mashiko na kama anahaki kweli aifungie nyimbo hiyo.

𝑪𝒄✍️:@keviiiy.iam

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments