5/26/2022

Nandy Athibitisha Kuacha Kufanya Kazi na Aliyekuwa Meneja wake Mocco, Sipo naye tena

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

 

Mbali na hilo #Nandy amethibitisha ujio ya Festival yake. Akiongea na wana habari wakati anapata ubalozi mpya @officialnandy ameeleza kuwa harusi yao na @billnass tayari vikao vimeanza kwa maana hiyo ipo katika hatua za mwisho.

Kuhusu kuacha kufanya kazi na aliyekuwa meneja wake @mokobiashara amethibitisha kuwa ni kweli amemsimisha.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger