Ticker

6/recent/ticker-posts

Ndugai "Sijaukumbuka Uspika, Hakuna Sinto Fahamu na Chama Changu"Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Job Ndugai akizungumza kuhusu kujiuzulu Uspika amesema "Mungu atajalia, nina amani, pia nawapenda Viongozi wangu wa kitaifa. Niwahakikishie hakuna sintofahamu kati yangu na Viongozi wangu wala chama changu. Ni mambo ya mitandao tu"

Kuhusu kutogombea tena Ubunge Ndugai amesema "Kuna watu ni kawaida yao wakiona kitu cha Ndugai lazima wapotoshe. Hilo jambo jimboni kwangu wanalijua, nilichofanya ni kuwakumbusha tu. Wito wangu tuwe na upendo, siyo kila jambo kupotosha, unafiki na kuchonganisha"

Jamii Forums

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments