5/14/2022

Pamba Kuhimili Vishindo vya Simba Leo?Pamba ya Mwanza leo ina mtihani dhidi ya Simba katika mchezo wa robo fainali kombe la shirikisho la Azam(ASFC)-FA kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Mchezo huo unasubiriwa kwa hamu kuona iwapo ni Simba inayoshiriki Ligi Kuu ya soka Tanzania bara au Pamba inayoshiriki ligi ya Championship itaibuka mshindi.

Mshindi wa mchezo huo wa robo fainali acheza na Yanga katika nusu fainali ya mashindano hayo.

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger