5/22/2022

Peter Mchechu "Lazima Niwe na Tumbo Kubwa ili Jux Awe na Six Packs Kila Mtu na Identity Yake"

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Msanii @peter_msechu amedai hajawahi kuchukia kutaniwa kuhusu umbo lake,labda neno ambalo huwa hapendi ni kuambiwa atakufa mapema, Msechu anaamini kifo ni mipango ya Mungu,maana alishaambiwa kauli hiyo na mtu mwembamba, baada ya siku chache huyo mtu alikufa kwa kugongwa na pikipiki, anacho hakikisha ni kuwa anajikinga na magonjwa, anakula vizuri,anafanya mazoezi na si kuhusu kupunguza tumbo.


Akikazia point yake kwenye mawimbi ya Empire ya EFM, Mei 19, Msechu amesema ni lazima yeye awe na tumbo kubwa ili @juma_jux awe na Six Pack, na nilazima Jux awe na Six Pack ili msechu awe na tumbo kubwa, Hivyo Mungu kamuwekea kila mtu identity yake, na uwenda lingekuwa sio tumbo basi hata interview hasingekuwa anapata.


NB: Hata useme tumbo kama behewa,hachukii ng'oo

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger