AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Walimu wametakiwa kutowarekekodi Wanafunzi wanaokosea kisha kusambaza mitandaoni kwa kuwa kufanya hivyo ni kukiuka faragha ya Mwanafunzi
Waziri wa Elimu, Profesa Afolf Mkenda akizungumza na Walimu na Wadau wa Elimu amesema "Wote wanaofanya hivyo tuwaambie na tuwakemee. Haijalishi Mwanafunzi amefanya kosa kubwa kiasi gani faragha yake ni muhimu"
-
#JamiiForums #ChildRights
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK