Rais Samia afanya uteuzi, Kitenge Aula

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Rais Samia afanya uteuzi
RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Hassan Kitenge kuwa Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. Taarifa kwa vyombo vya habari jana ilisema Kitenge alikuwa Mkurugenzi wa Mikakati ya Utendaji Kazi Serikalini, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Kwa mujibu wa taarifa hiyo uteuzi huo umeanza rasmi Mei Mosi, mwaka huu.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. I was actually captured with the piece of resources you have got here. Big thumbs up for making such wonderful blog page! 메이저사이트

    ReplyDelete
  2. Definitely consider that that you stated. Your favorite justification seemed to be at the net the easiest factor to keep in mind of. 온라인경마

    ReplyDelete
  3. Very efficiently written information. It will be valuable to everyone who utilizes it, as well as yours truly. Keep doing what you are doing – for sure i will check out more posts. 카지노

    ReplyDelete

Top Post Ad