Rais Samia "Nimechorwa Katuni Kuwa Mimi Ndio Nimwambukiza COVID 19 Makamu wa Rais wa Marekani"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rais Samia akiwa Arusha leo amesema anashangazwa na wanaoandika mitandaoni au kuchora katuni wakidai yeye ndiye amemuambukiza Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris Covid 19 ambapo amesema yeye ni mzima na kwamba Kamala alipimwa baada yeye kuondoka Marekani na hakuwa na Covid 19.

"Nimeona kwenye mitandao ya Kijamii, Rais wenu (Rais Samia) kaenda kuonana na Makamu wa Rais wa Marekani (Kamala Harris) baada ya Wiki anaambiwa yule Bibi anaumwa Covid 19, Mimi mzima, Mtanzania kaweka kikatuni katia mshale unatoka kwangu unaenda kwa Kamala kwamba Mimi ndio nimempa Covid lakini alipimwa baada ya Mimi kuondoka yupo negative, kaenda ziara kurudi yupo positive, ulizeni, mnajiandikia tu, Mie nina ngozi ngumu andikeni"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad