5/04/2022

Rais Samia "Miradi Mikubwa Imejengwa Kwa Pesa za Mikopo"Rais Samia amezungumzia miradi mikubwa ambayo ilikuwa ikitekelezwa wakati wa Hayati John Magufuli kwa kueleza kuwa alikuwa akiijua lakini changamoto ni kwa kuwa ilikuwa ikiendeshwa kwa fedha za mikopo

Amesema "Miradi ilikuwa ya kwetu kwa kuwa nilikuwepo katika Awamu ya Tano na nilikuwemo katika mipango na utekelezaji. Changamoto ni ukubwa wa miradi na uwezo wetu wa ndani"

Rais Samia amefafanua "Kwa tafsiri ni kuwa tumeijenga kwa fedha zetu lakini tulikopeshwa, tatizo ni itaendeleaje? Lakini ni miradi yenye tija"

#JamiiForums

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger