5/03/2022

Rais Samia "Nina Ngozi Ngumu, Waandishi Niandikeni tu"

Nafasi za Ajira Jiunge Group la Telegram la AJIRA YAKO Kwa Kubonyeza >> HAPAAkizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani Rais Samia Suluhu Hassan amesema "Nimeona mitandaoni wiki moja baada ya kuonana na Makamu wa Rais wa Marekani akakutwa na COVID-19

Ameongeza, "Mtanzania akachora katuni mshale kuonesha mimi ndiye nimempa #COVID19. Alivyokwenda ziara kurudi ndiyo akakutwa na Corona. Mnaandika mimi nimempa Kamala COVID-19, mnajiandikia tu. Mie nina Ngozi ngumu, kama mnaandika andikeni tu!"

#JamiiForums
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger