5/04/2022

Miriam Odemba Atoa Mpya, Adai Anapokea Mimba na Watoto Ambao Ibrah Kawapatia WanawakeMiriam Odemba Ameandika haya :


KUANZIA LEO TAREHE 4 MWEZI WA TANO MWAKA ELFU MBILI NA ISHIRINI NA MBILI NATANGAZA KWAMBA NAPOKEA MIMBA ZOTE AMBAZO CHINGA AMEWAPA WASICHANA MBALIMBALI PAMOJA NA WATOTO ALIOZAA NA WASICHANA WENGINE NJE, WALA MSIOGOPE JITOKEZENI KWA WINGI KWA KUWA MIMI NI MWANAMKE, MIMI NI MPENZI NA MIMI NI MAMA NAWEZA KULEA WATOTO, NAWEZA KULEA FAMILIA, UWEZO WA KUWAPELEKA SHULE NINAO, UWEZO WA KUWALISHA NINAO, UWEZO WA KUWAKATIA BIMA YA AFYA NINAO, UWEZO WA KUWAPELEKA OUTING NINAO NA MAHITAJI MENGINE YOTE MUHIMU NAWEZA KUWAPA HIVYO ACHENI KUMUUMIZA KICHWA MUME WANGU CHINGA KEEP FOCUSING MY MEME I'M DONE.  I MISSED YOUR FOURTY SEVEN (47).

#eidmubarak 

#miriamodemba  

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger