5/26/2022

Rias Samia Suluhu Afanya Uteuzi Katika Idara Mbalimbali

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi katika Idara mbalimbali
RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Sauda Kassim Msemo kuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, kabala ya uteuzi huo Bi Sauda alikuwa Kamishna wa Fedha za nje , anachukua nafasi ya Dkt. Bernard Yohana Kibese ambaye ameteuliwa kuwa Balozi.

Pia Rais Samia amemteua Mhandisi Cyprian John Luhemeja kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Ranchi za Taifa NARCO Mhandisi Luhemeja ni Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam DAWASA.

Aisha amemteua Bwana Macrice Daniel Mbodo kuwa Postamasta Mkuu Shirika la Post Tanzania TPC kabla ya uteuzi huo alikuwa Kaimu Postamasta Mkuu Shirika la Posta Tanzania, Uteuzi huu unaanza Juni 01, 2022.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger