Rick Ross na Hamisa Mobetto Wathibitisha Kuwa Kwenye Mahusiano

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Hatimaye baada ya muda mrefu wa zile tetesi Kwamba @Hamisamobetto anatoka na mkali wa Rap kutoka huko nchini Marekani @richforever basi Leo jibu rasmi la maswali hayo limepatikana.

Wakati walipokuwa wote instagram live mwanadada @Hamisamobetto aliulizwa swali na shabiki yake kama ana mahusiano ya kimapenzi na @richforever

Mwanadada naye akaona isiwe tabu akaachia swali Hilo ajibu @richforever ambaye naye kwa ufupi saana alise "Yes she is mine " Akimaamisha kwamba ndio huyu ni wangu..
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad