JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA
"Uongo hutembea kwa kasi, ukweli huchelewa kufika, kamwe sitoruhusu mtu yeyote kuchafua jina langu, baada ya mechi nitaongea.
Najua umuhimu wa mechi ya Jumamosi, kwa nguvu za Allah tutapata ushindi. Naipenda sana Yanga" - Said Ntibazonkiza
Hii ni baada ya taarifa za kusimamishwa na klabu ya Yanga kuthibitishwa na Msemaji wa klabu hiyo Haji Manara.
0 Blogger:
Post a Comment