Joseph Selasini, Mbunge wa zamani wa Rombo kwa tiketi ya Chadema ambaye baadaye alihamia NCCR Mageuzi, amesema yeye ni mwanachama halali wa chama hicho.
Kauli ya Selasini inakuja siku moja baada ya Mkuu wa Idara ya Itikadi na Uhusiano wa NCCR, Edward Simbeye kueleza kwamba Selasini siyo mwanachama wa chama hicho kwa sababu hajalipia ada ya uanachama kwa takribani miaka miwili.
______
Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA