5/07/2022

Shaffih Dauda Afunguka Ukweli Mchungu "Simba Wanahitaji Straika kama Fiston Mayele"
Ameandika haya Shaffih Dauda:

Baada ya mijadala yote kuisha lazima tukubaliane, Simba wanahitaji straika kama Fiston Mayele kuelekea msimu ujao, huku Yanga wanahitaji quality za kama Mayele angalau tatu

Kimataifa kuna room ndogo sana ya propaganda, watu wanaweka hela kisha wanaruhusu pesa na muda uongee! Huku tupo kwenye mijadala wakati wenzetu wapo mezani kwa ajili ya msimu ujao

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger