Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Star Wa Filamu Nchini na Mfanyabiashara Shamsa Ford Amewetaka Walimwengu Wote Wanaoanzisha Mahusiano Mapya Wawe Makini Sana
Kupitia Ukurasa wake Wa Instagram Ameandika 👇
"Kuwa makini sana unapoanzisha mahusiano mapya .Unaweza ukatumia nguvu,ukajitoa na kupoteza muda wako mwisho wa siku usiwe wewe unayependwa akawa mwingine kwasababu MWANAUME HUWA ANAJUA ANACHOTAKA huwa halazimishwi na kujitoa kwako" - Shamsa Ford
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA