Simba Washikwa Masharubu na Yanga Mwanza, Feisal Toto Aibuka Kidume


Dakika 90 za Mchezo wa Watani wa jadi, Yanga na Simba zimemalizika kwa Timu ya Yanga kuitwanga Simba SC bao 1-0 katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.

Dakika 45 za kipindi cha kwanza kwa watani wa jadi kutoana jasho zimekamilika na ubao ukiwa unasoma Yanga 1-0 Simba.

Dakika 15 za mwanzo ilikuwa ni msako kwa kila timu kutafuta bao la kuongoza ambapo hakukuwa na aliyeweza kuona lango la mpinzani.

Yanga ilibidi wasubiri mpaka dakika ya 25 huku mtupiaji akiwa ni Feisal Salum kwa shuti kali akiwa nje ya 18 likamshinda mlinda mlango namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya.
______

Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad