Habari Kama Hizi Zinapatikana UDAKU SPECIAL App, Download HAPA Bure: Link here>>>
Kibu Denis akifunga kwa kichwa bao la pili la Simba kwenye pambano dhidi ya Pamba FC
Klabu ya Simba imefanikiwa kutinga katika hatua ya nusu fainali ya kombe la Shirikisho Azam Sports baada ya kuitandika Pamba FC kwa jumla ya mambao 4-0.
Yusuph Mhilu akishangilia moja kati ya mabao yake aliyofunga leo dhidi ya Pamba FC
Mabao ya Simba yaliwekwa kimiani na Peter Banda katika dakika ya 45, Kibu Denis katika dakika ya 48 na Yusuph Mhilu aliyefunga mabao mawili katika dakika za 53 na 89.
Kwa matokeo hayo klabu ya Simba itakutana na mahasimu wao Yanga katika pambano la nusu fainali ya kombe hilo huku
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
________________________________
Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE
0 Comments