5/12/2022

Soma Hapa Form FIVE na College Selections 2022, Matokeo ya Uchaguzi Yametangazwa Leo

 

Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa leo ametangaza matokeo ya uchaguzi wa Wanafunzi wa Kujiunga na kidato cha tano Vyuo vya Ualimu na Vyuo vya Elimu ya Ufundi May 2022 "Muhula wa kwanza kwa Wanafunzi wa kidato cha tano utaanza tarehe 13 Juni, 2022, hivyo, Wanafunzi wote waliopangwa kujiunga na kidato cha tano kwa mwaka 2022 wanapaswa kuanza kuripoti katika Shule walizopangwa kuanzia tarehe 13 Juni, 2022, siku ya mwisho ya kuripoti itakuwa tarehe 30 Juni, 2022"

BONYEZA HAPA KUSOMA

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger