AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Spika Dkt. Tulia Ackson amewataka Wabunge kutodharau na kukweza michango ya wabunge wenzao, na kama mbunge hakubaliani na mchango wa mwenzake aseme ndani ya Bunge. Amesema hayo baada ya Mbunge Hamisi Tabasamu kukosoa mchango alioutoa Mbunge Condester Sichwale, nje ya bunge Kuhusu pombe ya Gongo
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK