5/03/2022

TCRA Yachunguza Malalamiko Kuhusu Vifurushi vya SimuBaada ya malalamiko mitandaoni kuwa Kampuni za Mawasiliano ya Simu Nchini Tanzania zimefanya mabadiliko na kupandisha gharama za vifurushi vya intaneti bila kutoa taarifa kwa Wateja wao, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema inafuatilia

TCRA imesema "Tumeona malalamiko kutoka kwa Wadau mtandaoni kuwa watoa huduma wa Mitandao ya Simu wamebadilisha vifurushi kimya kimya, endapo kuna mtumiaji amenunua kifurushi, halafu akapata tofauti na kile alicholipia, awasiliane nasi. Mamlaka inafuatilia suala hili kwa watoa huduma ili kuweza kubaini ukweli"


HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

1 comment:

  1. Kwani nyie hamnunui mkaona hadi wadau wathibitishe??

    ReplyDelete

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger