Ticker

6/recent/ticker-posts

Teni Kuwatafutia Uraia wa Marekani Mbwa wake Wanne

 


Ni Headlines za msanii wa Nigeria Teni Entertainer ambaye ameweka wazi kutaka kuwatafutia Uraia wa Marekani Mbwa wake wanne wanaofahamika kwa majina ya Tyg'r, Marley, Cindy na Nala.

Pia Teni ameeleza kuwa kupata hati za kusafiri kwa mbwa kunampa 'stress' zaidi kuliko alivyofikiria na anataka kwenda nao Marekani ndiyo maana anawatafutia uraia mbwa wake hao.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments