5/01/2022

Tucta Yapendekeza KIMA Cha Chini Cha Mishahara Kiwe Sh 1,010,000 Kwa MweziWakiwasilisha hotuba yao katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mbele ya Rais Samia Suhumu, TUCTA imependekeza kiwango hicho ili kuwezesha Wafanyakazi na Wategemezi wao kuishi
-
Wamesema Kima cha Chini cha Misharaha kimendelea kuwa duni licha ya gharama za maisha kupanda, mathalani kwa Sekta Binafsi (Watumishi wa majumbani) ni Tsh. 40,000/- hadi Tsh. 60,000/-. Kwa wafanyakazi wa Umma kima cha chini ni Tsh. 315,000/-
-
TUCTA imefafanua kuwa Wafanyakazi hawajaongezwa mishahara kwa miaka 9 kwa Sekta Binafsi na miaka 7 kwa Sekta za Umma hali iliyosababisha kupungua hari ya kufanya kazi na kupunguza ufanisi mahali pa kazi

#JamiiForums #MeiMosi

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger