Tukio la Kupigwa Risasi Megan the Stallion ni Mpango Uliosukwa na Jay Z Kumpaisha Msanii Wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwanadada Azealia Banks amechafukwa haswa, Jana aliamua kutoa ya moyoni ambapo alisema tukio la Megan Thee Stallion kudai kuwa amepigwa risasi na Tory Lanez, ni mpango wa kimasoko ambao umefanywa na Jay-Z.

Azealia ameamua kumuingiza Jay-Z kwenye sakata hilo kutokana na kumsimamia Megan Thee Stallion chini ya Roc Nation, alienda mbali na kusema mikakati ya Jay-Z kuwauza wasanii wa Kike siku zote huwa ni utumbo tu. Huwa anatengeneza mikasa waseme wamenyanyaswa na wapenzi wao, pia huwatumia kama ajenda kwenye jambo lolote.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad