5/08/2022

Ukweli Mchungu, Yanga Wanaonekana BORA Kutokana na Anguko la Simba


"Unaongelea timu ambayo kwenye mechi ya Mwananchi ilifungwa na Zanaco,timu ambayo kwenye Michuano ya Shirikisho ilifungwa Nyumbani na Ugenini bila kupata hata goli moja ikiwa na Mshambuliaji huyu huyu,haikupata matokeo kwenye Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa na Somalia kwenye Uwanja wa Nyumbani"

"Unamwongelea Mshambuliaji wa Kimataifa Mayele ambaye ana magoli sawa na akina George Mpole na Lusajo."

"Tunaweza kusema Yanga inaonekana kwamba ni nzuri lakini hii ni kutokana na Anguko la Simba"George Job, Mchambuzi wa Michezo Wasafi FM.

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger