5/09/2022

Video zinaonesha Mtanzania Milionea Aliyeuawa Marekani Alikuwa Kama Amechanganyikiwa Kabla ya Tukio


Taasisi ya upelelezi ya jimbo la Georgia, GBI inaendelelea kuchunguza kile kilichosababisha Mtanzania Rogers Kyaruzi apigwe risasi na kuuawa na polisi wa huko Atlanta, nje ya mgahawa maarufu uliopo katika kitongoji cha Buckhead. Video mpya za usalama kutoka kwenye mgahawa huo zimeonesha kile kilichotokea kabla ya tukio hilo. Endelea

VIDEO:
HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger