Ticker

6/recent/ticker-posts

Viwanja Vinauzwa: Mapinga na Kerege

Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA

Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA

Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPA
Viwanja viko Mapinga (Ng'ambo ya Bunju), mtaa wa Mingoi Kata Mapinga. Km 2 kutoka main road au km 5 kutoka Bunju B.

Viko viwanja kuanzia mita 15/20 milion 4.5, ukubwa 20/20 milion 6, ukubwa 20/30 milion 9 na ukubwa 25/40 milion 15

Pia tuna viwanja vya biashara (commercial) na viwanda (industrial) kwa ukubwa wa sqm 2000, 4000 na 8000 kwa bei ya tsh 20,000 per sqm moja. Hivi viko mtaa wa Kibosha hapa Mapinga.

Piga simu 0758603077
WhatsApp 0757100236

Post a Comment

0 Comments