5/14/2022

Waandishi wa Nyimbo za Maua Sama Mturudishie Msanii Wetu Pendwa

 

Maua Sama

Naongea kama mmoja wa mashabiki na wapenz wa mziki wa Maua Sama ninaoamini kabsa Maua ndo msanii mwny kipaji zaid kuliko wengine Afrika Mashariki(hii ni pamoja na nchi zilizojiunga juzi kati),na katika hilo sihitaji hata nguvu yoyote kulitetea mana kwa wengi wanaoujua mziki mzuri na melody tamu watakubaliana na mm Maua tops the chart ya the most talented artist!!!

Haya nirejee kwny mada yangu cos imetokana na mshtuko niliopata baada ya kusikia wimbo wake mpya alotoa na Nay wa Mitego,man that's not her class,Maua so wakutoa wimbo afu ikawa kama hamna kilichokotea vile yaani.

Nahisi waandishi wake wa nyimbo sijui wameishiwa madini ama vip i believe Maua deserves the spotlight kwny mainstream za Afrika Mashariki na Kati kwa ukubwa alofikia .

Management impeleke Maua nje ya mipaka tupate features kali za akina Tiwa Savage,Tems nk


Na hapa kazi kubwa inabid ifanyike na waandishi wake zitoke nyimbo nzuri ziendane na ukubwa wa project

Maua sio msanii wa kukaa kimya muda wote afu aje na project na Nay wa Mitego, Management ya Maua Sama needs to do better 💯

Source: Jamii Forums

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger