5/11/2022

Wanaorekodi Video za Majeruhi na Miili ya Marehemu Kwenye AJALI Waonywa ‘Wanajifanya Waandishi’

 


Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Mkoani  Morogoro Ngollo Malenya ameonya baadhi ya watu ambao wamekuwa na tabia ya kurekodi matukio katika ajali badala ya kupiga Simu jeshi la zimamoto na kusabisha madhara makubwa  kwa Wananchi.

DC Malenya ametoa onyo Hilo wakati akifunga kilele Cha maadhimisho ya Zimamoto mkoani Morogoro ambapo amesema kumekua na tabia sio ya kizalendo ya watu kupiga picha majeruhi,au maiti katika matukio ya ajali na kuyasambaza katika mitandao ya kijamii huku wao wakiwa hawana taaluma ya habari   hivyo wametakiwa kuacha mara moja kwani Jambo Hilo Ni kinyume na maadili  na sheria za mitandao ya kijamii.

Kwa taarifa zaidi unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger