Watumishi Kivuko Wafukuzwa Kazi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



WAKALA ya Ufundi na Umeme Tanzania (Temesa) imewafukuza kazi watumishi watatu wa Kivuko cha Magogoni- Kigamboni, Dar es Salaam.

Taarifa ya ofisi ya Mtendaji Mkuu wa Temesa jana iliwataja waliofukuzwa ni nahodha, fundi wa kivuko na baharia.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo kwa umma, watumishi hao wamefukuzwa kazi kutokana na tukio la Mei 24, mwaka huu la kuchelewesha kwa makusudi kivuko upande wa Kigamboni na kusababisha usumbufu na taharuki kwa abiria wanaotumia kivuko hicho

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad