5/19/2022

Waziri Mkuu afafanua watumishi walioachishwa kazi

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPAWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa amelieleza Bunge, kuiacha tume iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan ifanye kazi yake kushughulikia stahiki za watumishi walioachishwa kazi kwa madai ya kukosa cheti cha kidato cha nne.

Hatua hiyo inatokana na swali la mbunge wa Ushetu, Emanuel Peter Cherehani, aliyetaka kujua kauli ya serikali kuhusu watumishi walioondolewa kazini kwa madai ya kutokuwa na cheti cha kidato cha nne.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger