Ticker

6/recent/ticker-posts

Wema Sepetu Amshukia Vikali Bob Junior "Umenikosea Sana Sijui Ntamwambia Nini Mwanaume Wangu"

Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA

Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA

Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPAAmeandika Wema Sepetu:

Kwanza niko very disappointed...!!! Nadhani my Charm & Good heart ndo inayoniponza muda mwingi ila ndo kubadilika siwezi maana ndo nilivyoumbw na Mungu...

Niko disappointed na BobJunior saaaaanaaa cause maisha yangu always nimekuwa nikimchukulia as a Friend na nimekuwa nikimkubali kama mwana.... Sijamuona almost miaka 6 or 7 or even more.... Nimekuja kuonana nae juzi & kama kawaida nikawa Excited saaaaaaaanaaaa and nikamchangamkia mno.... Na hivyo ndo nilivyo mimi kwa watu woooooote wanaonizunguka na SIWEZI BADILIKA.... Sasa sielewi ndugu yangu ukala nn au umeona ni Sawa kwenda kuongea kuwa mi ni mwanamke wako...🤦🏼‍♀️ Lini...??? Au ndo Kutafuta kuongelewa.... Yaani ungejua nisivyopenda kuwa kwenye midomo ya watu aisee.... Daaaah.... Nimekuwa sad saaaaanaaa maana hata sielewi namwambiaje Mwanaume wangu akanielewa.... Kiukweli umenikosea sana.... Basi kama ni Kick ulikuwa unataka, Si ungenihusisha from the beginning... Tukashauriana.... Haiya Posa hio ya wapi..... Au ulikuwa umelewa....???WemaYaani kuna vitu vinakera sana kwakweli...

Back to you Soudy, Umeyataka baada ya ku make a Big deal after ile post... Ndugu, mimi kuwa msweet kwa watu vile sio mara ya kwanza.... Hata wewe nikikuona nikiwa nakukubali from the heart lazima nikukumbatie na kukukiss... Sio kitu cha ajabu.... Ndo nilivyo.... Sasa mpka kufikia kufanyiana Interview wenyewe mjipe Hype na Kick ndo sijaelewa.... Najaribu kuwawazia siwapatii jibu... Posa ipi kwanza.... Au wewe ndo mshenga... Kutaka kuharibiana tu mahusiano yetu tulionayo.... Sijawapenda hata kidogo...!!! Mna mambo ya Ajabu sana....

Post a Comment

0 Comments