5/30/2022

Wema Sepetu Kaamua Kumvulia Uvivu Mange Kimambi

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

Kupitia ukurasa wa Instagram wa @wemasepetu Ameandika..

"Afu na wewe unaejiita Dada wa Taifa skia nikwambie Manunu mkubwa wewe ... Sikuogopi, Sijui unanielewa.... Aliekwambia naboost followers nani..?? Kwanza lini nimetaka hata hao followers au nimejaribu kupata followers....

Naitwa kuuuutwaaa kwenye maphotoshoots tena ya Bure Bure silipi hata mia kuanzia mavazi to chakula nitachokula na sitaki.... Eti kutafuta followers.... My friend situmii nguvu nyingi kwenye mitandao... Na wala sihitaji... Ebu utafutage babu wa kizungu mwingine wa kumlea lea upate hata kazi ya kufanya....

Naona nakukosesha raha kweli.... Haya nikipitwa followers nitakufa au cha ajabu ni nini..... Yaani Unanifatilia too much..... Nimekuchoka..!!! Imekuwa too much sasa na ki app chako uchwara..... Unatia aibu wewe.... Ndugu ukitaka nikupe hii account pia naweza kukupa inakupa presha....

Eti followers.... Sijawahi babaika wala kubabaishwa na Followers... Katika watu wasiotumia nguvu mitandaoni ni mimi Wewe mtu mzima kileja.... Unaniboa unaniboa unaniboa.... Kutwa kunisingizia ya uongo na kweli.... Niache bwana weeee..... U did ur part wen u had the time to sasa let me be... Heeee... Nijute kukutana na wewe maishani.... Niache...!!!

Yaani umenichekesha kweli aisee.... Mimi, nataka kuboost followers...??? Mmmmh wonders shall never cease...!!! Basi sawa... kapeleke na haya matunda kwa app yako.... Kichwa chako kama njegere...!!!! Ebu niache mie kwanza naumwa.... Firigisi iliokosea kuoshwa vizuri wee...!!!!"
----------------------------------
written by @lanka_ting
---------------------------------
#RickMedia
#NewsChamber
#EntertainmentChamber
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger