5/19/2022

Zari Atoa Kichambo Kwa Watanzania "Nikionekana na Mama Dangote Mnafaidika Nini?"

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPAMwanadada mweye ushawishi katika mitandao mbalimbali ya kijamii @zarithebosslady ameibuka na kuwajia juu wanaosema hajaenda kuonana na familia ya mwanamuziki Diamond Platnumz alivyotua Tanzania wiko iliyopita.

Kupitia snapchat story yake, Zari amewasihi watu kufanya mambo yao na kuacha kufatilia yasiyowahusu
“Zari ajaonana na Mama Dangote kwanini!?,Zari ajaonana na ile familia kwanini!?, Wewe unafaidika nini mimi nikipiga picha na Mama Dangote!?”Na ningeonana nao mgesema Zari Anajipendekeza Kwa Diamond " - @zarithebosslady


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger