5/09/2022

Zuchu Ana Mimba ya Diamond Platnumz?

Nafasi za Ajira Jiunge Group la Telegram la AJIRA YAKO Kwa Kubonyeza >> HAPA


Zuchu; ni staa mrembo anayekiwasha kunako Bongo Fleva ambaye ameibua gumzo na shangwe kwa baadhi ya wafuasi wake baada ya kudai anajisikia uvivu mno na kulala muda wote.

Miezi kadhaa iliyopita, Zuchu alihusishwa kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na bosi wake wa Lebo ya WC, Diamond Platnumz ingawa wote wamekuwa wakikanusha jambo hilo.

Zuchu amesema; “Najisikia mvivumvivu leo, nalala ovyo…”
Kauli hiyo ya Zuchu imewaibua wataalam wa mambo hayo ambao wamedai kwamba huwenda Zuchu amenasa mimba ya Diamond au Mondi.

Wataalam hao wanasema kuwa uchovu na kujisikia kulalalala ni dalili za mwanzo za mwanamke mwenye mimba changa.

Wanasema kuwa, uchovu huo wa Zuchu si bure na kwa vyovyote kutakuwa na kitu huku baadhi ya watu wakidai bora isiwe kweli kwa sababu Simba hachelewi kumpiga chini na kujikuta akilea mwenye kama ma-baby mama wake wengine.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger