6/03/2022

Askari apigwa na Wananchi Geita ‘Amejeruhiwa kwa Panga, ametoka damu nyingi sana’

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia Bahati Mkingwa (33) Mkazi wa Mwatulole kwa tuhuma za kumjeruhi askari NCO namba G.3705 CPL ABEL aliyejeruhiwa kwa panga katika Mikono yake yote miwili akiwa anatekeleza majukumu yake.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita Henry Mwaibambe amesema Maafisa hao walikuwa wakitekeleza majukumu yao ndipo walipovamiwa na na kijana huyo Mtaa wa Shilabera.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger