6/13/2022

Azam Marine Kuvusha Watu Magogoni – Kivukoni

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) umefikia makubaliano na kampuni ya Azam Marine ya kutoa huduma ya kuvusha abiria kati ya Magogoni na Kigamboni mkoani Dar es Salaam.

TEMESA imesema lengo ni kuendelea kuwapa wananchi huduma za uhakika wakati huu ukiendelea kufanyia matengenezo vivuko vyake.

Aidha, umeshauri wananchi kuacha kutumia mitumbwi kuvuka, ili kulinda usalama wao
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger