6/07/2022

Babu Tale Alia Msanii wake Kasim Mganga Kupewa Mrabaha wa Elfu 50 Huku Lulu Diva Akipewa Laki Tano

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale (Babu Tale) ameitaka COSOTA kutoa vigezo vya malipo kwa wasanii huku akionekana haimuingii akilini Lulu Diva

Kumzidi kiasi cha malipo ya COSOTA,msanii mwenzie na mkongwe kwenye game ya Bongo Flava, Kassimmganga


“Mimi nina msanii wangu anaitwa Kassim Mganga, hakuna asiyeimba nyimbo zake kwenye msimu wa harusi. Kassim Mganga unamuita unampa Mrabaha TSh. 50,000. Halafu unamuita Lulu Diva unampa TSh. 550,000, umetumia vigezo gani?” Hamis TaleTale (Babu Tale)


Je, ni kweli Lulu diva hawezi kupata mapato mengi ya muziki kuliko Kassim Mganga hivi sasa?

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger