Ticker

6/recent/ticker-posts

Breaking News: Harmonize Amvalisha Pete ya Uchumba Kajala MasanjaTayari wawili hao wameshavalishana pete za uchumba na kinachofuata ni ndoa ambayo bado haijajulikana ni lini.

Kajala Masanja ni mkristo huku mpenzi wake Rajabu aka Harmonize akiwa ni muislam.

Leo muda mchache baada ya kuvalishana pete, Harmonize alionekana akitumia ishara ya msalaba hali ambayo imezaa maswali mengi kwamba atakuwa amebadili dini kumfuata Kajala.

Una mazamo gani kutokana na hiyo video hapo chini?

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments