6/10/2022

Breaking News: Sabaya na Wenzake Waachiwa Huru Hawana Hatia Kesi ya Uhujumu Uchumi

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha Leo Juni 10, 2022 imewaachia Huru Aliyekuwa Mkuu Wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na Wenzake sita baada ya kutowakuta hatia kwenye kesi ya Uhujumu uchumi Namba 27/2021.


Akitoa uamuzi huo Hakimu Wa mahaka ya Hakimu makazi Arusha Patricia Kisinda amesema Mahakama imeona ushahidi uliotolewa ulikuwa na Mashaka na ukigubikwa na Maswali yasiyokuwa na Majibu


Aidha ameongeza kuwa hati ya mashataka ilikuwa na Mapungufu makubwa kisheria.


kutokana na Sababu hizo akasema Mahakama amewaachia Huru Washtakiwa wote na Upande ambao hautaridhishwa na Maamuzi una Nafasi ya Kukata Rufaa.

 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger