Diamond Platnumz Ajivunia Kuwa na Mwanamuziki Zuchu, Aguna na Kusema Haya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kutoka insta story ya mwanamuziki @diamondplatnumz ameweka wazi kujivunia kuwa na mwanamuziki wa kike anaefanya vizuri kwa sasa kwenye mainstream ya muziki wa Bongofleva @officialzuchu kwa kushare picha yake akiambatanisha na ujumbe unao maanisha jambo hilo.

Mpka sasa mwanamuziki huyo ambae alitambulishwa rasmi kama msanii warecord label ya WcB Wasafi miaka miwili iliyopita anamiliki smash hit za kutosha, tuzo pamoja na record mbalimbali ikiwemo ya kuwa msanii wa kwanza wa kike nchini kufikisha subscribers million 1 youtube.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad