6/04/2022

Diva Loveness Amjibu Faiza Ally "Nitazaa na Mimi Wakati wa MUNGU ni Wakati Sahii"

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Ni ngumu sana kumshauri Faiza Ally juu ya mwanaye, Sasha aliyezaa na msanii wa Hip Hop nchini na aliyekuwa mbunge wa bunge la JM wa Tanzania, Mh. Sugu, kutokana na kile anacho kipost mtandaoni.

 Baada ya Faiza Kumshushia Kichambo Diva, Diva Ameandika Haya

"Faiza nakujibu kistaarabu sababu sina tatizo na wewe na sijawahi kuwa na tatizo na wewe , Kama Mtu maarufu nimeona wewe moving on imekuwa shida na kila siku you attack baba wa mtoto wako tena on Public, sijui matatizo yenu yasioisha ni nini suala la Mtoto kumuingiza na ugomvi wako na Mama ake Wa Kambo ni unajenga Taswira Ya Mama wa Kambo Kuonekana wa baya sana ingawa sio wote .. mpaka anamshika mkono na kwenda nae Kwa Mama Pale akiwa very Proud na Mtoto akiwa anatabasamu seems hajawahi teswa or fanyiwa baya na mamakr huyo mdogo Mke wa Baby Daddy .. Yeye Kumpost Mtoto Hakukuwa na baya ila 3days now Jambo Moja tu lisiloisha .. simjui uyo dada simfatilii ila aisee too much now .. kingine My dear Sijui nikome niiingie leba nizae nione trust Me Wakati wa Mungu Ni wakati sahihi kabisa I believe 💯 nitazaa Mungu aliekupa wewe watoto atanipa na Mie last but not least nimekushauri Vizuri kuna leo na kesho hujui mtoto wako atalelewa na nani, huyo unaemdhihaki na kumdhalilisha kila siku anaweza kuja kuwa mlezi bora wa Mwanao kuliko hao ndugu wa damu ulionao!. Haiya Mama asante nashukuru Kwa Matusi!. Enjoy

Ps: sio shobo .. Nimekupa some fact very truthful thoughtful sijatumia hisia nimetumia akili zaid na wisdom kukushauri ila seems wewe huwa hushauriki, ila Im sure dunia ipo hii tupo Mama!. Keep doin what you do!. if it suits you enjoy!. hao watu maarufu wanao comment na kucheka kwako they talk shit about you behind ya back hujui tu .. we both belive wewe ni strong woman unepambana na biashara zako na ku inspire watu lakin kwa style hii utapiga hatua mbele utarud nyuma. toa boriti .. i like you and i unfollow you cause It's boring tbh!. haiya najua leo utanitukana sana but anaekwambia ukweli anakupenda always. kissesHABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger