6/10/2022

Diva Loveness "Kuna Habari Zinaenea kwa kasi sana kwamba Mimi Na Mume Wangu Abdul Tumeachana"

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


 Diva Ameandika haya Kupitia Ukurasa wake:

Jana Kuna Habari zilienea kwa kasi sana kwamba Mimi Na Mume Wangu Abdul Tumeachana ... kisa nimehama Magomeni .. kwan magomeni hawaishi watu, mbona watu wa magomeni wa karimu tu sana yan ... sema y'all know me .. kuishi mikocheni masaki mbezi beach realy affected me isa lifestyle ...so guess magomeni not for me but love y'all watu wangu wa migo😇nimekaa mwezi tu nime enjoy sana misosiii 😇 kuna mzee na mke wake wanapika chapat harage nyie kelele moja kwao ...


Ni Kweli Kabisa sio nimehama tumehama wote ila kuna kitu kizuri kinakuja so mtafurahia Abdul is hard working ... anajitajidi kama Mume ingawa wenyewe mnajua nnavyopenda raha na yes anajitajid mtoto wa watu ,

ila bado tutakuwa available magomeni weekdays mchana muda wa kazi au sio so wenye sijui barua kuniandikia wenye kutaka kuonana na mimi kikazi magomeni wil be a new location kwa mchana .. reason Ya kuhama Ni Sababu Nahitaji kukaa Karibu na Ofisi ... Mbezi ninapoishi na Wasafi ni Pua na Mdomo dakika 5 tu .. ndio mana nikaingia insta live muone

story za kuachana nani kwanza alianzisha?!

caption zangu huwa ni for My Podcast link in my bio mimi ni mutu Ya habari ila Ni Love Expert ila Pia ni star so msiwe mnachanganya sana mambo mtapasuka mioyo yenu ... ntawachanganya!.

Last thanks to our fans msijal si tupo bwana raha zilezile .. ndoa tamu!

good morning

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger