6/03/2022

Dkt Kikwete amjulia hali mzee Mwinyi nyumbani kwake Msasani

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete, leo ameenda kumjuilia hali Rais mstaafu wa awamu ya pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi nyumbani kwake Msasani mkoani Dar es Salaam.

Dkt. Kikwete amempongeza Mzee Mwinyi kwa kutimiza umri wa miaka 97 na amefurahi kumkuta mwenye afya njema na uso wa tabasamu.

Amemuombea umri mrefu akiwa mwenye afya na furaha.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger