6/18/2022

Dully Sykes: Nataka kuoa mwanamke ambaye ni golikipa, sitaki kuoa anayefanya kazi

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPAMkongwe wa muziki wa Bongo Fleva @princedullysykes usiku wa jana kwenye tukio la @officialshetta alipata wasaa wa kuongea na wana habari na kueleza kuwa:

“Kwa sasa kiukweli yeye anataka kuoa na mwanamke anayemtaka ni mlinda mlango asiwe mfanyakazi akihofia mambo mengine.

Mwanamke mlinda goli namaanisha mwanamke ambaye atakuwa anaangalia familia pia ambaye hataangaika na DM za instagram yeye ni kuangalia familia tu na sio vinginevyo.


 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger