6/03/2022

Edo Kumwembe "Ndugu Zangu Simba na Yanga Kuwapenda Inatosha Ila Mambo ya Kuwachangia Tena Hapana Kwa Kweli"

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

"Ndugu zangu Simba & Yanga sisi kuwapenda tayari ni mchango tosha kwa ajili ya uwingi wetu ndio maana mnapata mabilioni ya pesa za mikataba hapo Azam na kwingineko na mechi zenu tunalipa sana viingilio na tunanunua jezi, mambo ya kuwachangia tena cash hapana aisee"- Edo Kumwembe
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger