6/05/2022

Faiza Ally Achutama na Kuridi Nyuma Vitani na Kusema "Mtu na Mume Wake Mmeshinda Nimegundua Mnanitumia Mimi na Mtoto Ninyi Kutrend"

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

Faiza Ally karudi Nyuma Vitani na kuandika haya :

Mimi na mwanangu tumejua kutumika . tena tumetumika vizuri sana sana yaani baba na mama hawaendi bila sisi wawili . Nilichugundua ni kwamba tumepewa kitu kikubwa sana na Mungu Ndani Yetu Yaani kweli dunia imegeuka mwanzo nilizani ni ujeuri wa mama wa kambo lkn nimegundua Joseph nae amechukua Kama ride . Mungu Wangu naomba subra . Uvumilivu akili Busara hili lipite Kama kishinda mtu na Mume wake mmeshinda . Najua bila sisi hamtrendi na ndio maana mmenibonyeza sehemu ambayo lazima ntashtuka Alhamdulillah for everything 🀲🏼🀲🏼🀲🏼🀲🏼🀲🏼
Hili pia litapita .
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger