6/05/2022

Faiza Ally Awaomba Watanzania Msamaha Aeleza Anachopitia Malezi ya Shasha

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Kutoka katika ukurasa wa instgaram wa mwanadada FAIDHA ALLY 

“Mimi Kama mama nimetukana kwa hasira . Toka Juzi naomba nimeomba Picha ya mwanangu ifutwe . Baba yake amepigiwa . mke wa baba yake amepigiwa lkn hawakunisikia. Nimemtumia mwanangu aombe kwa mama na baba wafute hawakumsikia . Kama mzazi ambae simpendi huyo mama sijapenda ampost mwanangu. Naamini angekua mwenye mapenzi anao uwezo wa kumshawishi baba atoe child support.

Mwanangu hatunzwi na baba yake wala Huyu mama yake mama hana mapenzi ya dhati . Mwanangu akiwa Mbeya hata chakula hapati kwa wkt na baba yake anajua Hilo . kuna kipindi wkt baba yake yuko jela nililazimika mm niko Dar kutuma hela ya matumizi Mbeya .

Na alikataza mwanangu Afike kwa baba yake wala hotelini akaishia kwa bibi yake marehemu. Na kiukweli bila mm kusoma dua na kuomba nina hakikaka baba Sasha angesha msahau Mtoto Yaani kiufupi huwa Ana msahau miezi tukiomba sana mtoto asitengane na baba yake ndio Ana ibuka tena !

Ada ya Shule napata kwa tabu sana mpaka waalimu na Secretary wamatafute baba ! Nikirifikia hayo yote nashikwa na hasira kujifanya wao kuonyesha mapenzi kwenye mitandao .

Ninayo imani kubwa wana mtumia mwanangu kwa sababu ni Mtoto mzuri na smart. Hayo matusi na hasira zote ni kwa sababu ya vipindi vigumu ninavyo pitia chini kwa chini bila watu kujua .

Juzi kwenye event ya baba yake kamsukuma mwanangu kaanguka na Bado Ana mlazimisha akalale Leo hii mwanangu ka trend ndio amtumie ?

Sasha huwa Ana birthday na anaenda Kwao mbeya Mbona hajawhi kumpost ? Kwa nn juzi ? Nimechukizwa sana ! UJUMBE HUU NIMEANDIKA NATAKA MUELEWA NINAPO PITA . NAOMBA SAMAHANI KWA WATANZANI WOTE KWA MATUSI NILIO TOA NI HASIRA TU NAOMBENI MSAHAMAHA .
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger