6/06/2022

Faiza Ally 'Shasha Ana Nyota Kali Sana, Nimechunguza ni Kaona ni Uchawi tu Kun’gan’gania Mtoto wa Mtu"

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Ameandika haya Faiza Ally Sakata la mke wa Sugu Kumpost Shasha Katika page yake:

Napata msg nzuri sana very powerful msg kutoka kwa watu waelewa najua siko peke yangu na nafahamu Instagram kuna watu wana akili na kuna mazamamwa pia . Kwa nyinyi mnao nicheka nimeshindwa naona wapuuzi tu kwa sababu kwanza nimegundua nimechokozwa kwa sababu na sababu zao zimetimia . Kwa hiyo hakuna jipya litakalo tokea Zaidi vilivyo pangwa vimetimia. Kwa hiyo hata kuondoka kwenye shari ni UJASIRI ! Sasha Bado ni mwanangu halali wa damu haiwezi kubadilika ni ujinga tu na ukorofi na kuto kujiamini mpaka uaminishe na nguvu za wengine. Ambapo mpaka sasa nimechunguza ni kaona ni uchawi tu kun’gan’gania Mtoto wa mtu na mama mwenyewe hataki na hakupendi yeye wala mwanae . Sana sana nimeona ni udhaifu tu kutaftia kiki Mtoto wa Miaka 9 . Na zaidi nikagundua pia mwanangu ana nyota Kali sana siwezi kuzuia imeshatokea na ni majaaliwa ya M.Mungu siwezi kupinga . Nafahamu kuna nyuma ya hili . Nimeshajaribu kupotezwa Mara nyingi sana lkn Mungu ana nguvu Zaidi Yao na ndio maana nikaona Kama Mungu huwa ana nipagania vita Ngumu Zaidi ya hii kwa nini niendelee kupigana na vitu nisivyo viona ? MIMI NI MSHINDI KWA NAMNA NYINGI SANA . KWANZA NI MAMA MZAZI . lkn Zaidi ni single mother ambayo nguvu yangu ndio imemfanya Binti yangu awe alivyo mpaka watu wamuone anafaa Yaani kiufupi hata anae kaa na Picha ni ujinga tu maana deep down najua hampendi mwanangu . Hanipendi mm na sisi Hatumpendi na sio hivyo tu hatumtaki pia na hatutaki shobo zake kwenye maisha Yetu .lkn kwa roho yake ya kichawi kuliko kutoa bora aingalie akiwa ana umia mradi tuumie wote 😂😂😂😂 sasa naendelea kugombania nn ? ? ? Ili iweje ? Ili kibadilike nini ? Mwanangu Bado mwanangu hata nikifa Leo Bado mwanangu HAITABADILIKA ! Kuanzia sasa post zote hata zile za utoto Bado haujulikani post sana sana unaonekana zamwamwa tu kun’gan’gania Mtoto wa mtu asie taka na mwanae . KUACHIA MTU AONEKANE MSHINDI NAO NI UJASIRI 💪🏽 MAMA SASHA NI MMOJA TU

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger